Jumapili, 15 Januari 2017
Tanzanian roads:Jumla kuna takriban kilomita 88,200 za barabara nchini Tanzania. Barabara za lami ni kilomita 3,704 pekee mengine 84,496 ni za udongo zinazokumbwa na matatizo ya mara kwa mara.HOW FAR IS IT? Mbeya_Mwanza 1300 km Dar_Mwanza 1154 km Dar_Musoma 1350 km Dar_ Sumbawanga 1163 km Mbeya_Arusha via Chalinze 1226 km Mbeya Arusha via Singida 1169 km Dar_Mbeya 833 km Dar_Songea 950 km Dar_Kyela 954 km Dar_Tunduma 937 km Dar_Kahama 1024 km Dar_Dodoma 452 km Dar_Dodoma 451 km via morogoro Dar_Tanga 354 km via chalinze Dar_Mtwara 556 km Tanga_Arusha 435 km Dodoma_Mwanza 701 km Dar_ Rwanda border (Rusomo Falls) 1,281 km Mwanza_Musoma 218 km Arusha_Namanga (Kenyan border ) 106km Iringa_Mbeya 330 km Dar_Iringa 492km Chalinze_horohoro 315km Masasi_mbambabay 620km Arusha_holili via moshi 117km Tunduma_namanga 1,218km Segera_himo 263km Singida_rusumo falls 625km Makambako_songea via njombe 293km Mingoyo_masasi 120km Makogolosi_sirari 1071 km Kasesha_mutukula 1128 km Morogoro_manyoni 388 km via Dodoma Rungwa_singida 308 km Singida_babati 151 km Makuyuni_kukirango 390 km Usagara_biharamulo 230 km Nyakasanza_kyaka 171 km Omurushaka_Murongo 111 km Bulahu_Lamadai via bariadi 173 km Nyakasanza_Kobero 59 km
Jumapili, 8 Januari 2017
HII IMETOKEA JANA USIKU: BUS LA KAMPUNI YA OTA HIGH CLASS LITOKEA BUKOBA KWENDA DAR,LIMEPATA AJALI ENEO LA PANDAMBILI WAKATI LIKIJARIBU KUYAKWEPA MAGARI MAWILI YALIYOKUWA YAMEGONGANA BARABARA KUU YA DODOMA MOROGORO. KATIKA BUS HAKUNA ALIYEUMIA , ILA KWA MAGARI MENGINE YALIYOHUSIKA NA AJALI KUNASADIKIKA KUNA VIFO.
Alhamisi, 5 Januari 2017
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)